KURASINI SDA CHOIR WAREKODI SANTURI MWONEKANO MPYA NAMBA 7 HUKO TURIANI MOROGORO
Waimbaji wa Kwaya ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato Kurasini jijini Dar es salaam (pichani) mwishoni mwa juma walisafiri mpaka Madizini,Turiani Morogoro kwa ajili ya kurekodi toleo jipya la santuri mwonekano namba 7.
Joseph Oola miongoni mwa walimu na mwimbaji wa muda mrefu wa kwaya hiyo ameiambia blog hii kuwa waliamua kwenda Turiani na hasa kutumia eneo linaloonekana pichani ili kuleta tofauti na mvuto wa santuri yao hiyo mpya ambayo itatoka mwaka huu.
Post a Comment