GARI LA WAIMBAJI WA LIGHT BEARERS LAWASILI
Waimbaji wa Light Bearers toka JCB Studioz wakiwa katika picha na gari lao ambalo watakuwa wanalitumia kwa shughuri za uimbaji |
Hatimaye bus dogo ambalo lilikuwa limeagizwa toka nje ya nchi na Uongozi wa waimbaji wa Light Bearers limewasili nchini kwa ajili ya kutumiwa na waimbaji hao toka studio za JCB zilizoko Tegeta jijini Dar es salaam.
Post a Comment