Kwaya ya Kurasini toka jijini Dar es salaam na Royal Advent Quartet toka Morogoro wako katika makambi ya Burka jijini Arusha yatakayofungwa kesho kwa uimbaji utakaofanyika jioni kanisa hapo.
Waumini wa Kanisa hilo wameiambia blog hii kuwa wamefurahia ujio wa waimbaji hao kwenye makambi ya mwaka huu
Post a Comment