PICHA:MAKAMBI YA BURKA JIJINI ARUSHA YALIVYOHITIMISHWA
Royal Advent Quartet walikuwepo |
Waimbaji wa Burka |
Watoto |
Kwaya ya Vijana ya Burka wakiimba |
Kurasini SDA Choir walikuwa ndo waimbaji rasmi |
Mwalimu Samson Kibaso kwenye kinanda |
Kwaya ya Kisongo nao waliimba |
Mkurugenzi wa Uwakili wa NETC Mchungaji Musa Nzumbi Jr akihutubia umati wa waumini siku ya kufunga kambi la Burka |
Mwalimu Kibaso akipima uwezo wa waimbaji wa besi hapo ni mwimbaji wa besi wa Royal Advent Simon Mdee |
Zawadi nazo zilitolewa kwa wageni |
Post a Comment