MTANGAZAJI

MKUTANO MKUBWA WA INJILI DODOMA DR HERRY MUHANDO,AMBASSADORS OF CHRIST NA LIGHT BEARERS JUKWAA MOJA

Waimbaji wa Light Bearers wakiimba hii leo
 
Dr Herry Muhando (katikati)akiwa na Mchungaji Michael Twakaniki kulia kwenye viwanja vya mkutano
Mkutano Mkubwa wa Injili ulioandaliwa  na Kanisa la Waadventista wa Sabato katika makanisa yake yote yaliyopo Manispaa ya Dodoma unafanyika katika viwanja  vya Barafu pembeni ya uwanja wa Jamhuri Dodoma kuanzia januari 10 hadi 31,2015.

Mhubiri ni  Dr.Herry Mhando kutoka Dar  es salaam akisaidiana na Mch.Joshua Malongo, Mch.Michael Twakaniki, Mch.Kibaso na Dr.Meremo

 Mafundisho mafundisho mbali mbali ya Afya, Malezi bora ya familia yanatolewa huku kukiwa na waimbaji wa kwaya nne za UDOM , TUCASA ST.JOHN UNIV. Ujasiri Choir, Tumaini Choir toka Kizota, Amani Choir toka Chang'ombe, The Light Bearers toka jijini Dar es salaam,Kikuyu Choir na Ambassadors of Christ toka Rwanda wanaotarajiwa kuwepo Januari 17 mwaka huu.

2 comments

Unknown said...

People,

Have been blessed so much, personally.

I have seen God's Power, Mercy and Love.

Pr. Herry Mhando, is the given Descriptor of God's Word, (when he spoke, today about the Wonderful, Wonderful Translation and the Habit of Heaven Travellers, the Church will regain speed through him, may God Bless him, give him more life span to evangelize this World, through Jesus Christ Amen.

Unknown said...

Personal, Testimony;
I love Biblical descriptive talent that is given to Dr. Herry Mhando, here in Dodoma we are un-blinded by his sermons:
“Good News About Satan, Good News About Death, Wonderful Dream, Wonderful Translation, Faithfulness of the 85 years Highest Government Leader (Daniel at the Reign of King Darius), How did Sin get into Earth? (Did Ever seek advice from Adam before taking a forbidden fruit, Serpent couldn't prevail a deception to both of them, instead he would have disappeared once Eve had just left to seek Adam's advice!!!!! and the sin couldn't come!!!........Every Provision given to them was for Merit but they disobeyed. e.t.c:”
So blessed, should everyone listen in these inspiring Words of GOD, the World would be a better living place. Even here in Dodoma so many people have been baptized today...!!!!!
Lord, Keep Protecting Dr. Herry and His fellow Pastors that they may keep grazing us before you our God.

Amen.

Mtazamo News . Powered by Blogger.