MKUTANO MKUBWA WA INJILI DODOMA DR HERRY MUHANDO,AMBASSADORS OF CHRIST NA LIGHT BEARERS JUKWAA MOJA
Waimbaji wa Light Bearers wakiimba hii leo |
Dr Herry Muhando (katikati)akiwa na Mchungaji Michael Twakaniki kulia kwenye viwanja vya mkutano |
Mhubiri ni Dr.Herry Mhando kutoka Dar es salaam akisaidiana na Mch.Joshua Malongo, Mch.Michael Twakaniki, Mch.Kibaso na Dr.Meremo
Mafundisho mafundisho mbali mbali ya Afya, Malezi bora ya familia yanatolewa huku kukiwa na waimbaji wa kwaya nne za UDOM , TUCASA ST.JOHN UNIV. Ujasiri Choir, Tumaini Choir toka Kizota, Amani Choir toka Chang'ombe, The Light Bearers toka jijini Dar es salaam,Kikuyu Choir na Ambassadors of Christ toka Rwanda wanaotarajiwa kuwepo Januari 17 mwaka huu.
Post a Comment