MTANGAZAJI

PICHA:MWILI WA MAREHEMU JEREMIA MAZULA ULIVYOAGWA HII LEO JIJINI DAR ES SALAA KUELEKEA MWANZA KWA MAZISHI

Mwili wa Marehemu Jeremia Mazula aliyefariki usiku wa kuamkia juzi januari 7,2015 umeagwa leo Tabata jijini Dar es salaam na kusafirishwa kuelekea Kitangili ,Mwanza kwa mazishi,Jeremia Mazula aliwahi kuwa mwimbaji wa kwaya za makanisa ya Waadventista Wa Sabato Kirumba,Mwenge na MagomeniBaadhi ya waombolezajiWaimbaji wa Magomeni SDA Choir wakiimba


Mtoto wa Marehemu Mickmas Jeremia (Kushoto) akiwa na mjomba wake (mwenyemiwani)


Kaka wa Marehemu Samweli Mazula (aliyevaa T-Shirt)akijadiliana jambo na ndugu


No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.