DRC:WANANDOA WAANZISHA CLUB YA RADIO WASHIRIKA NA MORNING STAR RADIO YA TANZANIA
Wanandoa katika mji wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo(DRC) wamejiunga na Radio Sauti ya Matumaini ambayo pia hurusha matangazo ya Morning Star Radio katika masafa ya 98.9 fm mjini humo wameanzisha Radio Club.
Mmoja wa mafundi mitando wa Radio Sauti ya Matumaini Kambale Nzilamba amesema wanashukuru kwa mpango huo ambao umetokana na wasikiliza wa radio hiyo.
Post a Comment