PICHA ZA UZINDUZI WA TOLEO JIPYA LA FRIENDS OF JESUS CHOIR
Friends of Jesus Choir wakiimba kuzindua toleo lao liitwalo Shepherd of My Soul |
The Voice toka Tanzania wakiimba katika uzinduzi huo |
Minagery Singers toka Rwanda |
Mwenyekiti wa Friends of Jesus Choir Tito Rugamba akizindua CD |
Angel Magoti toka Tanzania |
Israel Mugisha toka Kenya akiimba |
Kundi la Shower Power toka Zimbabwe |
Umati wa Watu wakishuhudia uzinduzi |
Waimbaji wa Friends of Jesus Choir wa nchini Rwanda hivi karibuni walizindua toleo lao jipya liitwalo Shephed of My Soul lenye nyimbo 12,uzinduzi ambao uliwahusisha waimbaji toka Rwanda,Kenya,Zimbabwe na Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa hoteli ya Serena mjini Kigali Rwanda.Toleo hilo linatarajiwa kutambulishwa rasmi nchini Tanzania kupitia kipindi cha Lulu za Injili cha Morning Star Radio kitakachosikika jumatano saa 11 jioni,pia utawasikia Shower Power na nyimbo zao mpya ambao juma hili walikuwa katika ziara huko Uganda.
Post a Comment