MDAHALO WA KATIBA MEI 26,2013
Kituo cha Sheria na Haki za
Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na Kamati Maalum ya Katiba pamoja na ITV na
Radio One wanawaalika watanzania wote kwenye Mdahalo wa Katiba utakalofanyika
ndani ya ukumbi wa Ubungo Plaza (Blue Pearl) Dar es Salaam Mei 26,2013.
Mdahalo huo utaanza saa 8
kamili mchana na kufungwa saa 11 jioni. Mada kuu ya mdahalo huo ni Changamoto
za Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011. Mdahalo huo
utaonyeshwa moja kwa moja na ITV.
Walengwa wa mdahalo huu ni watanzania
wote
Watanzania wote mnakaribishwa
kufuatilia mdahalo huo kwa njia ya televisheni ya ITV.
Post a Comment