MTANGAZAJI

PICHA ZA UZINDUZI WA TOLEO JIPYA LA FRIENDS OF JESUS CHOIR

Friends of Jesus Choir wakiimba kuzindua toleo lao liitwalo Shepherd of My Soul
The Voice toka Tanzania wakiimba katika uzinduzi huo
Minagery Singers toka Rwanda
Mwenyekiti wa Friends of Jesus Choir Tito Rugamba akizindua CD
Angel Magoti toka Tanzania
Israel Mugisha toka Kenya akiimba
Kundi la Shower Power toka Zimbabwe


Umati wa Watu wakishuhudia uzinduzi
Waimbaji wa Friends of Jesus Choir wa nchini Rwanda hivi karibuni walizindua toleo lao jipya liitwalo Shephed of My Soul lenye nyimbo 12,uzinduzi ambao uliwahusisha waimbaji toka Rwanda,Kenya,Zimbabwe na Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa hoteli ya Serena mjini Kigali Rwanda.Toleo hilo linatarajiwa kutambulishwa rasmi nchini Tanzania kupitia kipindi cha Lulu za Injili cha Morning Star Radio kitakachosikika jumatano saa 11 jioni,pia utawasikia Shower Power na nyimbo zao mpya ambao juma hili walikuwa katika ziara huko Uganda.

2 comments

Anonymous said...

Nawaombea Baraka za Mwenyezi Mungu wanapoendelea kulihubiri injili kupitia kwa nyimbo.

Unknown said...

Mungu aibariki kazi yake na waimbaji pia mmaanishe mnachokiimba , yaani muishi kama nyimbo mnazoimba. msiwe na maisha tofauti na injili mnayoipeleka.

Mtazamo News . Powered by Blogger.