MTANGAZAJI

DADA WA "MTANGAZAJI" AFANYIWA UPASUAJI MARA NNE

Happy Maduhu katika wodi ya mifupa kwenye Hospital ya Bugando,Mwanza pembeni ni mgonjwa mwenzake ambaye anaumwa mguu
Happy Maduhu akiwa na Mama mzazi Hellen Masunga katika hospitali ya Bungando,Mwanza (picha zote na Nico Mujaya)
Toka mwaka 2007 Dada wa "mtangazaji" Happy Maduhu ameshafanyiwa upasuaji mara 4 katika mguu wake wa kushoto katika hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyoko jijini mwanza kutokana na kuugua ugonjwa wa Chronic Osteomyelitis.
Kutokana na upasuaji huo mfupa wa mguu wake ulivunjikwa mwaka huu ambapo madaktari walimwekea vyuma,madaktari wamemweleza kuwa wiki hii watatoa vyuma walivyomwekea na kumwekea POP .
Happy ni mjane mwenye mtoto mmoja ambaye anauguzwa na Mama Hellen Masunga ambaye pia mjane wakiwa wanaishi mkolani,jijini Mwanza.

5 comments

Anonymous said...

pole dada wa kaka maduhu, nakuombea upone haraka...

Anonymous said...

pole dada wa kaka maduhu, nakuombea upone haraka...

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Mungu atatenda maajabu yake na utapona. Seba Agulang'hane!

Anonymous said...

Pole sana Dada wa Mtangazaji mtumaini Mungu atakuponya.

Mzee wa Changamoto said...

Twaamini kuwa utapona Dada. Unakumbukwa katika sala na twajua kuwa HAKUNA LILILO JUU YA YULE UMWAMINIYE.
Twakutakia uponaji wa hara zaidi

Mtazamo News . Powered by Blogger.