MTANGAZAJI

SHAMBA BOY WA BONGO

Kijana anayefanya kazi ya kutunza mifugo eneo la Forest Hill Morogoro akipeleka nyasi nyumbani kwa ajili ya mifugo hiyo.Jamaa hawa hulipwa si zaidi ya shilingi 20,000 kwa mwezi (picha na Juma Mtanda)

1 comment

Anonymous said...

Malipo ya chini sana haya lakini bora kuliko wizi.Ila nadhani hawa jamaa nao wanafaidi sana maziwa Mungu awabariki sana jamaa hawa.

Mtazamo News . Powered by Blogger.