DADA WA "MTANGAZAJI" AFANYIWA UPASUAJI MARA NNE
Happy Maduhu katika wodi ya mifupa kwenye Hospital ya Bugando,Mwanza pembeni ni mgonjwa mwenzake ambaye anaumwa mguu
Happy Maduhu akiwa na Mama mzazi Hellen Masunga katika hospitali ya Bungando,Mwanza (picha zote na Nico Mujaya)
Toka mwaka 2007 Dada wa "mtangazaji" Happy Maduhu ameshafanyiwa upasuaji mara 4 katika mguu wake wa kushoto katika hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyoko jijini mwanza kutokana na kuugua ugonjwa wa Chronic Osteomyelitis.
Kutokana na upasuaji huo mfupa wa mguu wake ulivunjikwa mwaka huu ambapo madaktari walimwekea vyuma,madaktari wamemweleza kuwa wiki hii watatoa vyuma walivyomwekea na kumwekea POP .
Happy ni mjane mwenye mtoto mmoja ambaye anauguzwa na Mama Hellen Masunga ambaye pia mjane wakiwa wanaishi mkolani,jijini Mwanza.
Post a Comment