WADAU WA CALIFORNIA WANAVYOMKUMBUKA MAREHEMU DR JOHN KISAKA
Septemba 2007 Marehemu Dr John Kisaka alikuwa California na kutembelea ndugu jamaa na marafiki zake,mmoja wa wadau wa blog hii ambaye baba yake mzazi alisoma na marehemu huko Marekani, Kristy alikuwepo katika tukio hilo na ametuma picha hizi ambazo zinamkumbusha mbali.
Post a Comment