MTANGAZAJI

UJASIRIAMALI??????

Mchuuzi wa nguo za mitumba mjini Morogoro akimwonesha mteja nguo anazouza kwa kuetembeza biashara ya kutembeza bidhaa inaonekana kuchukua kasi nchini Tanzania katika siku za karibuni .

Mfanyabiashara wa kuuza machungwa katika Manispaa ya Morogoro akitayarisha machungwa kwa kuyamenya huku mteja akirufuhia kula tunda hilo katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

3 comments

PASSION4FASHION.TZ said...

Kazi ni kazi bora mkono uende kinywani,wanajitahidi ni bora yao,kulikoni kuishia kuwa jambazi au tapeli.

Anonymous said...

wewe unayesema kazi ni kazi haufikirii kama kweli unataka kuthibitisha usemi wako embu leo tembelea ktk maeneo ya kaumba mjini morogoro uone biashara ya ukahaba inavyofanyika bila woga mabinti warembo na wakila aina wanajiuza je hiyo nayo ni kazi bora mkono uende kinywani? JUST IMAGINE MMMMMMM!

Anonymous said...

uuuum, ukahaba? ni laana.....

Mtazamo News . Powered by Blogger.