MTANGAZAJI

HAYA NDO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA AMA NI BORA MAISHA??

Hamisi Ng'aranga mchuuzi wa vikapu vinavyotokana na ukili kutoka kijiji cha Melela wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro akitembeza bidhaa hiyo katikati ya mji wa Manispaa ya Morogoro ambao hutembea umbali mrefu kusaka wateja.
Editha Mula mkazi wa Nane Nane katika Manispaa ya Morogoro akimpimia mteja wake kokote kwenye ndoo huku mteja wake akisubiri ambapo ndoo yenye ujazo wa lita 10 huuzwa kati ya sh 600 hadi 800.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.