UJENZI WA MELI YA MV MWANZA WAFIKIA 74%
Kazi mbalimbali za ujenzi wa Meli ya MV. Mwanza ukiendelea katika Bandari ya Mwanza Kusini.
Ujenzi wa Meli hiyo umefikia asilimia 74% na unatarajiwa kukamilika mapema
mwakani.
Meli hii itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 1200 pamoja na mizigo tani 400,
na inatarajiwa kufanya safari za kutoka Mwanza-Bukoba, Musoma na nchini
Uganda.
Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia
Suluhu Hassan alitembelea kukagua ujenzi wa Meli hiyo mkoani Mwanza.
Post a Comment