MTANGAZAJI

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE DHIFA YA KITAIFA KATIKA IKULU YA NAIROBI NCHINI KENYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta pamoja na Mke wa Rais Kenyatta Mama Margaret Kenyatta wakati wa nyimbo za Taifa zikipigwa katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya Mei 04, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta pamoja na Mke wa Rais Kenyatta Mama Margaret Kenyatta kabla ya kwenda kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya  Mei 4,2021.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.