RAIS SAMIA AMSHUKURU RAIS KENYATTA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemaliza ziara yake ya siku mbili jijini Nairobi nchini Kenya na kurejea nchini Tanzania Mei 5,2021.
Akiwa katika uwanja huo na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali Rais Samia alimshukuru Kiongozi huyo na kisha kupanda Ndege
Post a Comment