RAIS SAMIA AMKABIDHI NYUMBA RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE
Mei 9, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemkabidhi mfano wa funguo ya Nyumba Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kama ishara ya kumkabidhi Nyumba mpya ya kuishi iliyopo Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam,Tanzania ambayo amejengewa na Serikali kwa mujibu wa sheria.
Post a Comment