ZIARA YA RAIS WA ETHIOPIA HUKO CHATO GEITA TANZANIA
Rais wa Ethiopia Sahle -Work Zewde akizungumza na Wanahabari baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita. |
Mmoja wa Msanii wa kikundi cha Ngoma za asili cha Chato akionesha uhodari wake wa kucheza na nyoka aina ya Chatu wakati wa sherehe za kumpokea Rais wa Ethiopia Sahle -Work Zewde Chato mkoani Geita. |
Post a Comment