Karibu
kwenye makala hii ya pili kuhusu maradhi haya ya Corona yaliyorekodiwa
Jumamosi Machi 21, 2020. Dr Frank Minja amejibu na kujadili mambo
mbalimbali kwenye makala haya ikiwa ni pamoja na kueleza nini
tunachojaribu kuelimisha?
Kuna maendeleo gani yaliyopatikana ama kutokea
kati ya juma lililopita na sasa? Ni kweli kwamba takwimu za sasa
zinaendana na wale wanaoamini kwamba huu ugonjwa hauwaathiri watu weusi?
Vipi kauli kwamba watu wa kundi la damu "A" wana hatari zaidi
kuathirika ilhali wale wa kundi "O" hawaathitriki? Wale wenye kisukari
na shinikizo la damu, wana hatari zaidi kuathiriwa na hili? Na wale
wanaonyonyesha je?Vipi kuhusu matumizi ya Klorokwini yaliyotangazwa juma
hili.
Ni tiba? Uvaaji wa mask nao uko vipi? Na kuna kipimo cha damu cha
maradhi haya? Pia amegusia kuhusu dhana ya Flatern the curve na kutoa
wito kwa jamii...
Post a Comment