TUZO YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI ILIVYOPELEKWA KWA WANANCHI WA MIKOA YA MARA NA SIMIYU
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Dkt Hamis Kigwangalla akiwa na Wakuu wa Mikoa ya
Mara, Adam Malima na wa Simiyu, Anthony Mtaka wakati wa kuionesha kwa
wananchi wa mikoa hiyo miwili tuzo iliyopata Hifadhi ya Taifa ya
Serengeti ya kuwa Hifadhi Bora barani Afrika .Wengine Mkuu wa wilaya ya
Serengeti Nurdin Babu (kulia) na Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi kanda ya
Magharibi ,Martin Loibook .(kushoto)
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Dkt Hamis Kigwangalla akizungumza wakati wa
sherehe za kuoinesha kwa wananchi wa mikoa ya Mara na Simiyu tuzo
iliyopata Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ya kuwa Hifadhi Bora Barani
Afrika .
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria sherehe hizo katika uwanja wa Kijiji cha Robanda Wilaya ya Serengeti.
Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu ,Anthony Mtaka akizungumza katika Sherehe hizo zilizo
Hudhuriwa na viongozi mbalimbali zikiwemo kamati za ulinzi na usalama za
mikoa ya Mara na Simiyu.
Kamishna
Msaidizi wa Uhifadhi Kanda ya Magharibi, Martin Loibook akizungumza
katika sherehe hizo alipomuwakilsha Kamishana Mkuu wa Uhifadhi -TANAPA
,Dkt Allan Kijazi .
Waziri
wa Malisili na Utalii,Dkt Hamisi Kigwangalla akisalimiana na wajumbe wa
kamati za ulinzi na usalama za wilaya za mikoa ya Mara na Simiyu.
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Dkt Hamisi Kigwangalla akifurahia jambo na Mkuu
wa Mkoa wa Mara ,Adam Malima wakati akitizama ngoma kutoka kikindi cha
wananchi wa Jamii ya Maasai wakati kikitumbuiza katika sherehe hizo.
Kamishna
Msaidizi -Mawasiliano TANAPA ,Pascal Shelutete aakifanya utamburisho wa
viongozi mbalimbali waliofika kwa ajili ya sherehe hizo .
Baadhi
ya Viongozi wa idara mbalimbali za serikali za mikoa ya Mara na Simiyu
walipata fursa ya kupiga picha na tuzo hiyo kabla ya kupelekwa kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Dkt John Pombe Magufuli.
Post a Comment