KUTOKA UGHAIBUNI:KITUO CHA KUTUNZA NA KUASILI WANYAMA NA NDEGE (+VIDEO)
Kituo maalum za kutunza wanyama na ndege ambao huasiliwa na wananchi kwa kuchangia gharama kilichoko Houston,Marekani.
Kituo hiki cha SPCA ambacho huwezeshwa na serikali kilianzishwa mwaka 1924, Lengo ni kuwawekea kinga na kuwaokoa wanyama na ndege kutokana na kunyanyaswa.
Kila mwaka kituo hiki hupokea wanyama wa mwituni 11,ooo wakiwa ni aina 360 za wanyama hao,Kituo hiki hutunza wanyama 50,000 kila mwaka.
Post a Comment