KIONGOZI MSTAAFU WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO TANZANIA ATOA ANGALIZO KWA WAADVENTISTA (+VIDEO)
Aliyewahi kuwa Kiongozi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato nchini Tanzania Mch Lameck Mwamukonda amesema kuna haja ya Kanisa hilo kuweka mkakati wa kutunza maeneo yanayobeba historia ya Kanisa
Post a Comment