MTANGAZAJI

TABIA ZA WANAUME KATIKA MAHUSIANO-MCH CALEB MIGOMBO (+VIDEO)

Watalaamu wanaeleza kuwa kuaminiana katika mahusiano ya ndoa  ni kitu muhimu na cha msingi sana, ndoa haiwezi kuwa na furaha na amani  kama wanandoa wake hawaaminiani,Wajibu wa Mwanamme ni kupenda mke na wajibu wa mwanamke ni kumtii mwanamme na Mwanamme anahitaji kuaminiwa kwa jinsi alivyoumbwa na MUNGU.

Katika hotuba yake ya Februari 7,2019  kutoka Kinyerezi jijini Dar es salaam  katika mkutano wa Nyumbani Hatimaye 2019 ukirushwa mbashara na Hope Channel Tanzania na Morning Star Radio  Mch Caleb Migombo  anaeleza nukuu za namna ambavyo mwanamke anaweza  kumwamini mumewe.(bonyeza alama ya play kutazama na kusikiliza sehemu ya hotuba yake) .

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.