TABIA ZA WANAWAKE KATIKA MAHUSIANO-MCH CALEB MIGOMBO (+VIDEO)
Miongoni mwa matatizo ama migogoro inayotokea baina ya wanandoa katika zama hizi inaelezwa na wataalamu wa masuala ya mahusiano kuwa inatokana baadhi ya wanaume kutofahamu kile wanachohitaji wanawake toka kwao,hasa tabia za wanawake ambazo zinaelezwa kubadilika badilika mara kwa mara na hii ni kutokana na walivyoumbwa.
Mchungaji Caleb Migombo anafafanua kuhusu jambo hii kuhusu jambo hili katika sehemu ya hotuba yake ya somo la Kaya na Familia aliyoitoa Februari 6,2019 katika Mkutano wa Nyumbani Hatimaye 2019 jijini Dar es salaam,Tanzania. (Bonyeza alama ya play ili utazame na kusikiliza video hii)
Post a Comment