MTANGAZAJI

TABIA ZA WANAUME KATIKA MAHUSIANO-2-MCH CALEB MIGOMBO (+VIDEO)




Kuaminiana katika mahusiano ya ndo ni kitu muhimu na cha msingi sana, haiwezi kuwa na furaha wala amani ndoa ambayo wanandoa wake hawaaminiani,Wajibu wa Mwanamme ni kupenda mke na wajibu wa mwanamke ni kumtii mwanamme na Mwanamme anahitaji kuaminiwa kwa jinsi alivyoumbwa na MUNGU.

Wanaume wanahitaji kuaminiwa na wanawake katika ndoa,kama ambavyo wanawake nao wanahitaji kupendwa na wanaume katika ndoa.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.