NUKUU TOKA KWA MCH CALEB MIGOMBO KATIKA MKUTANO WA NYUMBANI HATIMAYE 2019
Matangazo mbashara ya mkutano wa Nyumbani Hatimaye 2019 yameendelea kurushwa kutoka Kinyerezi jijini Dar es salaam kupitia Hope Channel Tanzania na Morning Star Radio ambapo Mch Caleb Migombo toka North Carolina,Marekani ameendelea kutoa hotuba zake za Kaya na Familia,Siku ya nne ya Mkutano huo hotuba yake iliangazia katika suala zima la kukabiliana na tatizo la upweke hasa kwa wanaume ambao hawajaoa na wale waliooa (walioko katika ndoa).
Post a Comment