KWAYA YA VIJANA NYARUGUSU KUTOA HUDUMA YA UIMBAJI KATIKA KAMBI LA KIBADA KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM
Mwalimu wa kwaya ya Vijana Nyarugusu ya mkoani Geita Tanzania Enock Zablon amezungumzia toleo lao jipya nambari tano la audio na ambalo litakuwa ni toleo la tatu katika santuri mwonekano ambalo litaitwa Nyimbo Nne ambalo litatoka kabla ya mwaka huu kumalizika
Akizungumza katika mahojiano maalum kwenye kipindi cha Lulu za Injili kilichorushwa hii leo na Morning Star Radio mwalimu huyo ameeleza kuwa kwaya hiyo itatoa huduma ya nyimbo katika makambi ya Kibada,Kigamboni jijini Dar es salaam kuanzia julai 8 mwaka huu.
Sikiliza mahojiano hayo hapa
Post a Comment