Mkutano wa Injili unaofanyika huko Eldoret nchini Kenya kwa muda wa majuma mawili ukitarajiwa kumalizika mwishoni mwa juma hili umewakutanisha waimbaji mbalimbali toka Kenya na Tanzania.
Mwimbaji wa Gospel Flames toka Tanzania Tumaini Lameck amezungumza na mtandao huu kutoka katika mji wa Eldoret
Post a Comment