HOTUBA YA RAIS MAGUFULI WAKATI WA KUTOA VYETI KWA WAJUMBE WA KAMATI YA TATHIMINI YA MAKINIKIA
Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli alipohutubia Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 23,2017 ambapo alimteua Prof. Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania ,
Rais Magufuli ametangaza uteuzi baada ya kukabidhi vyeti wajumbe waliohusika kufanya tathmini ya madini yaliyokuwa kwenye mchanga wa madini maarufu kama
Post a Comment