WAIMBAJI WA NOUVELLE JERUSALEM WAITAMBULISHA VIDEO YAO MPYA HUKO GOMA
Video mpya ya Nenda uwahubiri ya NOUVELLE JERUSALEM toka Himbi,Goma-DRC imeshatoka sasa.Ambapo Mei 27,mwaka huu ilitangazwa rasmi kwa wadau na wapenzi wa kwaya hiyo.
Video ya wimbo huo pia imeonesha maeneo kadhaa ya Tanzania ikiwemo Uwanja wa Taifa wa jijini Dar es salaam.
Post a Comment