MUSOMA:TAARIFA YA KISA CHA MTOTO WA MIAKA 14 KUBAKWA
Mtoto wa umri wa miaka 14 mkazi wa mtaa wa Nyasho Kati
katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara ametendewa unyama wa kubakwa na mwanamume
anayefahamika kwa jina moja la Emanuel ( 56) na kutokomea kusikojulikana baada
ya kitendo hicho.Taarifa kamili kuhusu tukio hilo iko hapa.
Post a Comment