UVUTAJI WA SIGARA NA UTUMIAJI WA POMBE SABABU KUBWA YA SHINIKIZO LA DAMU NCHINI TANZANIA
imeelezwa kuwa Uvutaji wa Sigara na Utumiaji wa Pombe umeonekana kuwa ni sababu kubwa inayosababisha shinikizo la Damu kwa wananchi wa Tanzania.
Sikiliza taarifa ambayo imeripotiwa na Mwandishi wa Habari Orpa Thomas toka Tabora,Tanzania
Post a Comment