MWANZA,GEITA NA MARA ZAONGOZA KWA KUWA NA KESI NYINGI ZA MAUJI NCHINI TANZANIA
Mikoa ya Mwanza,Geita na Mara ikihusisha
Kanda Maalum ya Tarime na Rorya nchini Tanzania imetajwa kuwa inaongoza
kwa kuwa na kesi nyingi za mauji nchini humo kutokana na Takwimu
zilizotolewa jana katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria ambapo
mikoa hiyo pekee imetatua zaidi ya kesi za mauji 610.
Congess Mramba alihushuhudia maadhimisho ya Siku ya Sheria jijini Mwanza,Sikiliza taarifa yake
Post a Comment