MWANZA:MATIBABU YA BURE JIJINI MWANZA
Baadhi ya Wakazi wa jijini Mwanza wakipata huduma mbalimbali za matibabu ya bure yanayoendelea kutolewa katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato la Kirumba jijini Mwanza ikiwa ni sehemu ya kutimiza miaka 50 ya Kanisa hilo toka kuanzishwa kwake jijini humo |
Post a Comment