MWANZA:MTANGAZAJI WA MORNING STAR RADIO NA MORNING STAR TELEVISHENI AFUNGA NDOA JIJINI MWANZA
Juni 26,2016 ni siku ambayo haitasahaulika kwa Mhariri wa Habari na Mtangazaji wa Morning Star Radio na Morning Star Televisheni ,Sifael Lusiu kwani alifunga ndoa Mussa Harun Ngollo huko jijini Mwanza,Ndoa iliyofungwa na Mch Christopher Ungani ambaye pia ndiye Mkurugenzi wa vyombo vya habari vya kanisa la Waadventista wasabato Tanzania -TAMC
Sifael Lusiu aliyejinga na Morning Star Radio takribani miaka miwili akitokea TBC 1 ambako alifanya mazoezi yake ya utangazaji baada ya kumaliza Shahada yake ya Kwanza ya Mawasiliano ya Umma toka Chuo Kikuu cha Tumaini huko Iringa ndiye Mhariri wa Habari wa Morning Star Radio na pia akitayarisha na kutangaza kipindi cha Vijana na Wakati na kile cha Kijijini kwa Babu.
Post a Comment