MWANZA:MWIMBAJI WA VICTORY SINGERS AFUNGA NDOA
Mwimbaji wa Kundi la Victory,Meshack amefunga ndoa jana Septemba 6, 2015 na Gloria Washington ambaye pia ni mwalimu wa kwaya ya watoto ya Nyambiti ya jijini humo ambapo kwaya hiyo iliimba kwenye tukio hilo ambalo pia lilihudhuriwa na waimbaji wa Victory Singers na LightBearers toka jijini Dar es salaam.
Ndoa hiyo ilifungwa jana katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Buzuruga la jijini Mwanza.
Victory Singers wakiimba kwenye tukio hilo jana |
Post a Comment