MOROGORO:MKUTANO WA KAMPENI WA CCM- RAIS JAKAYA KIKWETE,DRT MAGUFULI NA MZEE YUSUPH MAKAMBA NDANI YA UWANJA WA JAMHURI SEPT 6,2015
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisistiza jambo katika mkutano huo.
Wananchi wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo Dkt Magufui aliwahutubia wananchi hao sambamba na kuzinadi sera zake
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jioni ya jana mjini Morogoro.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwapungia mikono wananchi huku wakiwa wameshika kofia zao.
Picha zote na Michuzi Jr-Morogoro.
Picha zote na Michuzi Jr-Morogoro.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Morogoro mjini,Mh Azizi Abbod mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akiteta jambo na Kada wa CCM,Mzee Yusuph Makamba kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamhuri mkoani Morogoro jana
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akizungumza jambo na mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamuuhuri mkoani Morogoro.
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Kada maarufu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamhuri mkoani Morogoro,pichani kati ni mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akishuhuhudia tukio hilo.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Mikumi Ndugu Jonas Estomih Nkya.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Mlimba Bw.Godwin Emmanuel Kunambi.
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akifurahia jambo na mtoto mara naada ya kumaliza mkutano wa hadhara katika uwanja wa Jamhuri jioni ya jana
Wananchi waliojitokeza katika mkutano huo uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Wasanii wa Bongo Movie nao walikuwepo wakiongozwa na Steve Nyerere na Wema sepetu katika kutimiza kampeni yao ya Mama ongea na Mwanao
Wapiganaji kazini
Kundi la Wasanii wa Filamu nchini la Mama Ongea na Mwanao likitumbuiza katika mkutano huo.
Post a Comment