MTANGAZAJI

DAR ES SALAAM:SIKILIZA UJUMBE WA KIONGOZI WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO TANZANIA KUHUSU KIPINDI HIKI CHA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OCTOBA 25,2015
Kiongozi  mpya wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato katika Union ya Kusini mwa Tanzania inayojumuisha mikoa 17, Mch Mark Walwa Malekana (Pichani) amewataka watanzania kudumisha amani hapa nchini katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini humo Oktoba 25 mwaka huu, pamoja na kwamba wanatofautiana kwa itikadi za kisiasa na imani za dini huku akitoa wito kwa waumini wa kanisa hilo kuombea uchaguzi ufanyike kwa amani.

Hii hapa ni sehemu ya alichokieleza hivi karibuni  katika mahojiano maalum kwenye kipindi cha Kanisani jumahili kinachorushwa na Morning Star Radio  na TV vinavyomilikiwa na kanisa hilo.

 

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.