MTANGAZAJI

ARUSHA:PICHA SITA ZA MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO UNIONI KONFERENSI YA KASKAZINI MWA TANZANIA


Mkutano Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Union ya Konferensi ya Kaskazini Mwa Tanzania, utafanyika Septemba 9 - 10,2015 katika kanisa la Arusha Mjini Kati ukitaraji kuwa na wajumbe wapatao 300 toka Koferensi ya Magharibi mwa Tanzania (WTC)Konferensi ya Kaskazini Mashariki mwa Tanzania (NETC)Konferensi ya Nyanza kusini (SNC),Taasis za kanisa hilo na Wastaafu.

Hizi ni picha sita za maandalizi ya mkutano huo


NullNullNullNullNullNull

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.