ARUSHA:MKUTANO MKUU WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO KASKAZINI MWA TANZANIA KUFUNGULIWA RASMI KESHO SEPTEMBA 9,2015
Mkutano Mkuu wa Uchaguzi Umeanza leo jioni kwa Nyimbo na Matangazo,waweza kuendelea kufuatilia kupitia https://twitter.com/NTUCAdventist ama saa 1:30 jioni Morning Star Radio huu ni mkutano wa kichaagua viongozi na kupanga kazi kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati Dr Blasius Ruguri atafungua mkutano huo kesho asubuhi huku kukiwa na wajumbe wapatao 300.
Post a Comment