NIMEKUWEKEA BAADHI YA PICHA ZA TOKA ARUSHA KWENYE MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO
Kwaya iliyohudumu leo ni kwaya ya Kwamrombo ya Jijini Arusha |
Kutoka kushoto Mchungaji Davis Fue,Dr Blasious Ruguri na Dr Godwin Lekundayo wakiongoza kikao |
Wastaafu wakitambulishwa |
Mwenyekiti wa Union ya Kusini mwa Tanzania Mch Mark Walwa Marekana akitambulishwa. |
Post a Comment