MTANGAZAJI

RWANDA:MWIMBAJI MWINGINE WA AMBASSADORS OF CHRIST AFUNGA NDOA



Uwera Illumine na mumewe Rukundo baada ya kufunga ndoa


Waimbaji wa Ambassadors of Christ katika picha ya pamoja na maharusi




Kwa mara nyingine tena waimbaji wa Ambassadors Of Christ wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato huko Kigali,Rwanda wameongeza idadi ya waimbaji waliofunga ndoa baada ya mwimbaji wa sauti ya sauti ya kwanza wa kwaya hiyo ambayo  inasubiri kutoa santuri mwonekano nambari  12 hivi karibuni,Illumine Uwera kufunga ndoa na Rukundo Agosti 16,mwaka huu.
 
 Ndoa ya mwimbaji huyo aliyejiunga na Ambassadors of Christ mwaka 2012 ilifungwa kwenye kanisa linaloendesha ibada kwa lugha ya kifaransa (Francophone SDA) Nyamirambo.


No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.