NAIROBI:KWAYA YA NYAHANGA WAHUDUMU JIJINI NAIROBI, KENYA
Waimbaji wa Nyahanga toka Kahama,Shinyanga walikuwa nchini Kenya kwa muda wa majuma matatu ambapo walishiriki kwenye mkutano wa Injili na Makambi katika kanisa la Satelite New Life na Ngong Road,jijini Nairobi, Kenya.Pichani wakiimba kwenye moja ya mikutano hiyo, kwaya hiyo imerejea Kahama Agosti 29 mwaka huu.
Post a Comment