GOMA:ACACIA SINGERS TOKA TANZANIA WASHIRIKI TAMASHA LA SHEREHE YA MIAKA 30 YA KWAYA YA INJILI FAMILY LEO AGOSTI 30,2015
![]() |
Acacia Singers wakiimba hii leo huko Goma |



![]() |
Kwaya ya Injili Family ikiimba kwenye tamasha hilo |
Tamasha la uimbaji la sherehe ya kutimiza miaka 30 toka waimbaji wa Injili Family Choir toka Kanisa la Birere wa waanze kuimba mwaka 1985 limefanyika huko Goma,DRC hii leo Agosti 30 mwaka huu.
Mwandishi wa blog hii toka Pascanet Record ya Goma anasema waimbaji pekee toka jijini Dar es salaam,Tanzania Acacia Singers ambao walihudhuria tamasha hilo wamekonga nyoyo za watu waliohudhuria tamasha hilo lililofanyika kwenye Kanisa la Waadventista Wa Sabato Birere hasa walipoimba nyimbo za Mnazarayo na Punda na Mwana Punda
Post a Comment