DAR ES SALAAM:CHAMA CHA ACT-WAZALENDO KILIVYOZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI 2015 JANA AGOSTI 30 VIWANJA VYA MBAGALA ZAKHEM
Mgombea urais
wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira (kushoto),
akihutubia katika uzinduzi wa kampeni ya chama hizo uliofanyika viwanja
vya Zakhem Mbagala jijini Dar es Salaam Agosti 30,mwaka huu
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto akihutubia katika uzinduzi huo.
Mshauri wa Chama cha ACT-Wazalendo, Profesa Kitila Mkumbo akihutubia kwenye uzinduzi huo.
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto (kushoto), akiteta jambo na Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira.
Viongozi mbalimbali wa chama hicho wakiimba wimbo wa taifa.
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto, akiwatambulisha wagombea ubunge wa majimbo yote ya Dar es Salaam.
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto, akigawa ilani ya chama hicho kwa mgombea urais na mwenza wake.
Mgombea Mwenza, Hamad Mussa Yusuph akihutubia kwenye uzinduzi huo.
Mwana muziki
Bwana misosi, akitoa burudani katika uzinduzi wa kampeni wa Chama cha
ACT-Wazalendo uliofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala Dar es Salaam
Umati wa
Wananchi ukiwa katika uzinduzi wa kampeni wa Chama cha ACT-Wazalendo
uliofanyika viwanja vya Zakhem Magala Dar es Salaam leo.
Chanzo: www. habari za jamii.com
Chanzo: www. habari za jamii.com
Post a Comment