ARUSHA:RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA BARABARA WA TAMISEMI KATIKA HOTEL YA NGURDOTO WILAYANI ARUMERU
Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi alipowasili kata ya Ngurdoto Wilayani Arumeru, Mkoani Arusha Agosti 24,2015 wakati alipokwenda kufungua Mkutano wa nne wa mwaka wa wadau wa sekta ya barabara chini ya Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa unaofanyka katika hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha
Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi katika mkutano wa Mwaka wa Wadau wa Barabara wa TAMISEMI uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto wilayni Arumeru Mkoani Arusha Agosti 24,2015
Chanzo:blog ya Ikulu
Post a Comment